@@hassanomar2536 Mtu wa kuweka flyovers siyo Tanroad ni Mkuu wa Nchi awe na maono hayo kama Hayati Magufuri alivyokuwa na maono ya kujenga airport msalato na lingroad Dodoma Zimepita Awamu ngapi hazikuliona hilo
Tanroads kwa nn msijenge light rail system au Tran railway izunguke jiji la Dodoma na hiyo itakua step kubwa sana kwa nchi yetu na itaongeza thamani ya Capital city bila kusahau kuwa kitovu cha utalii pia
Hongera sana serikali kwa utekekezaji mzuri kama itakamilika kila kitu kwa mujibu wa maelezo ya naibu waziri basi itakuwa ni barabara ya mfano tena watu watakuja kujifunza, lakini hapo kwenye ujengwaji wa miti mh. Waziri ametisha😂😂😂
Boss umeongea kitu kikubwa mnoo. Barabara ikiwa na Highway haipaswi kuwa na matuta. Kiongozi mkubwa na wa mfano. Nakupongeza mno kwa hili. Wakati mwingine matuta yanachangia uharibifu wa miundombinu pia magari kwa ujumla
Hii ya mama samia ameweza mama samia amefanya mama samia amewezesha mama samia anasaidia mama samia ni jembe mama samia tunamshukuru mama samia mama yetu mama samia...........yani story nzima ni mama ina boa sana hata uzuri wa kusikiliza jambo. unapotea
Upuuzi kabisa barabara hiyo hata 20% Bado haijafikia Kila wiki napita hapo naenda Iringa Shida kubwa huo mradi mkandalasi hasimamiwi kikamilifu ndiyo maana mradi unasuasua
Barabara zinapaswa ziwekwe sidewalk (pedestrian) barabara za Dar ndo ovyo kabisa hatari watembea kwa miguu kugongwa na magari. Na highway lazima ziwekwe vivuko vya daraja la kukatisha watu au bypass watakayo katisha watu.
Tunge omba muiangalie kwa jicho la tatu kwenye bajeti ijayo barabara ya Makongolosi hadi Mkiwa ni barabara fupi kwa wasafiri wanaotoka Mwanza,Kigoma,Tabora na Singida kwenda Mbeya na nchi jirani za Kusini mwa Tanzania
Hongera sana Mheshimiwa Samia MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki Sana
Kazi iendelee
Nice job
TUMEUWA NDEGE WAWILI KWA JIWE MOJA WELL DONE TANROADS
Huo mradi mkandalasi hasimamiwi kikamilifu ndiyo maana mradi unasuasua kweli hako nikakipande kadogo sana
Kazi nzuri sana, naipongeza TANROADS lakini pia mfikirie japo kidogo kuweka hata flyover moja Capital city Dodoma
Kaka kazi ya flyover sio kupendezesha mji
😂😂@@baseonline4178
Hasa njia ya makutano ya mh waziri Mkuu
Sahihi kbsaaa. Kuna uhitaji mkubwa wa Flyover hasa makutano ya hzo barabara ihumwa. TANROAD mnabidi ku consider hiki kitu
@@hassanomar2536 Mtu wa kuweka flyovers siyo Tanroad ni Mkuu wa Nchi awe na maono hayo kama Hayati Magufuri alivyokuwa na maono ya kujenga airport msalato na lingroad Dodoma Zimepita Awamu ngapi hazikuliona hilo
Tanroads kwa nn msijenge light rail system au Tran railway izunguke jiji la Dodoma na hiyo itakua step kubwa sana kwa nchi yetu na itaongeza thamani ya Capital city bila kusahau kuwa kitovu cha utalii pia
Hongera sana serikali kwa utekekezaji mzuri kama itakamilika kila kitu kwa mujibu wa maelezo ya naibu waziri basi itakuwa ni barabara ya mfano tena watu watakuja kujifunza, lakini hapo kwenye ujengwaji wa miti mh. Waziri ametisha😂😂😂
Kwa kweli ila sasa hiyo miti inajengwaje???
Boss umeongea kitu kikubwa mnoo. Barabara ikiwa na Highway haipaswi kuwa na matuta. Kiongozi mkubwa na wa mfano. Nakupongeza mno kwa hili. Wakati mwingine matuta yanachangia uharibifu wa miundombinu pia magari kwa ujumla
👐
Wekeni matangazo au vibqngo vinavyoonyesha hii ni hifadhi ya Barabara hairusiwi kujenga au kufanya biashara eneo la Barabara.
Hii ya mama samia ameweza mama samia amefanya mama samia amewezesha mama samia anasaidia mama samia ni jembe mama samia tunamshukuru mama samia mama yetu mama samia...........yani story nzima ni mama ina boa sana hata uzuri wa kusikiliza jambo. unapotea
Upuuzi kabisa barabara hiyo hata 20% Bado haijafikia Kila wiki napita hapo naenda Iringa Shida kubwa huo mradi mkandalasi hasimamiwi kikamilifu ndiyo maana mradi unasuasua
Barabara zinapaswa ziwekwe sidewalk (pedestrian) barabara za Dar ndo ovyo kabisa hatari watembea kwa miguu kugongwa na magari. Na highway lazima ziwekwe vivuko vya daraja la kukatisha watu au bypass watakayo katisha watu.
Miradi yenu yote haikamiliki kwa wakati, kila mradi mko nyuma ya muda. Inaonekana muda mnaopanga sio halisia, mjitafakari
Endelea kuipendezesha Dodoma
INAJENGWA MITI🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
WASIMAMIZI sio kuwaomba ni kuwa amuru
Hawaongelei tena commuter train 😢😢😢 ambao walishafanya usanifu yakinifu, sidhani hilo litatokea kwa hii serikali ya huyu Bibi tozo
Utakufa Bure kwa Gubu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tunge omba muiangalie kwa jicho la tatu kwenye bajeti ijayo barabara ya Makongolosi hadi Mkiwa ni barabara fupi kwa wasafiri wanaotoka Mwanza,Kigoma,Tabora na Singida kwenda Mbeya na nchi jirani za Kusini mwa Tanzania
NINGEPENDA KAMA MNGEWEKA MWENDO KASI
Mwendokas hapa..ijengwe reli
Wa kwenda wap😂